Habari
Kama sio settings za simu yangu basi ndio hivyo tena jamaa warudi tu shule.
Ninapofungua app ya WhatsApp kisha naenda chini pale nabofya nipate majina mbalimbali ya wapendwa zangu majina yanafunguka vizuri lakini ninapompa “Hi” mpendwa mmoja nikirudi kwenye majina screen inanileta kwenye recent chat.
Hebu wadau dadavueni kidogo hapo. Mimi ninachotaka nirudi kwenye majina na sio kwenye chatting.