ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Watesi wake wanatamani kufungua midomo yao ili kuomba radhi lakini mioyo yao inawaka motoPalipokuwa na kukanyagana basi nachukua nafasi hii kumuombea msamaha Marehemu Membe ili akapumzike kwa amani.
Nape atakapo zikwa nae pale rondo basi msamaha utakubalikaPalipokuwa na kukanyagana basi nachukua nafasi hii kumuombea msamaha Marehemu Membe ili akapumzike kwa amani.
Hayo mambo ni kawaida kwenye chama chenuYeye Nape alisamehewa lakini yeye hakusamehe akashangilia kifo.
Membe hawezi samehewa kwa sababu amekufa bila kusamehePalipokuwa na kukanyagana basi nachukua nafasi hii kumuombea msamaha Marehemu Membe ili akapumzike kwa amani.
Mleta uzi sio muelewa.Palipokuwa na kukanyagana basi nachukua nafasi hii kumuombea msamaha Marehemu Membe ili akapumzike kwa amani.