Hapa ndio aliimba diamond

mjukuum

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
5,258
Reaction score
2,842
Namkubali dai kwa nyimbo hizi
Lala salama
My number one
Utanipendanga
Nitarejea
Nyingine zooooote kwangu ni blabla
 
Acha maneno weka ukimuona
Ikiisha weka lala salama
kisha ongeza kizai zai
halafu badili weka lala salama
pia usikose kusikiliza nalia
 
Binafsi tofauti na lala salama sina wimbo wake ambao huwa natenga mda wangu kusikiliza muziki wake tofauti na alizo shirikishwa Kama yule jamaa wa kwa Mugabe japo diamond salute Sana kimataifa anatufanya turinge nasisi
 
Hayo maoni na mtazamo wako unataka kumshawishi nani naye awaze kama wewe?
 
Namkubali dai kwa nyimbo hizi
Lala salama
My number one
Utanipendanga
Nitarejea
Nyingine zooooote kwangu ni blabla kama Mkuu Wa mkoa mkubwaaaaaa hapa tz
lala salama ni nyoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…