Duh hiyo koti sijui imeshonwa kwa gagulo gani!Haya yote magum tunayopoitia leo hapa ndio yalioibuliwa na kuanza kwakeView attachment 1056365
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hiyo koti sijui imeshonwa kwa gagulo gani!
Au sijui turubali?vyovyote ilivyo maisha ni bahati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kazi wewe acha lawama.. .! Matatizo yako chanzo chake ni wewe na hakutakuja malaika wa kuyatatua isipokuwa wewe mwenyewe ukiamua... ! FANYA KAZI.....