warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Watu wengi wenye mafanikio duniani, hutumia mda mchache sana kulala, na kutumia mda mwingi zaidi kwenye mambo ya maendeleo. Wakati wengine wakitamani kuwa kama Lady Jaydee na kufikiri kuwa anakula bata kwa kwenda mbele, apa ndipo anapolaza ubavu wake pindi jua linapozama. Kumbe ndo maana Dada yetu hanenepi na siku zote mafanikio hayaji kiurahisi lazima ujinyime. Nadhani hufanya ivi ili kupata mda wa kuweza kutafakari mambo yake kwa umakini zaidi.
Big up Jide.
Big up Jide.