Hapa ndipo anapolala Lady Jaydee...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Watu wengi wenye mafanikio duniani, hutumia mda mchache sana kulala, na kutumia mda mwingi zaidi kwenye mambo ya maendeleo. Wakati wengine wakitamani kuwa kama Lady Jaydee na kufikiri kuwa anakula bata kwa kwenda mbele, apa ndipo anapolaza ubavu wake pindi jua linapozama. Kumbe ndo maana Dada yetu hanenepi na siku zote mafanikio hayaji kiurahisi lazima ujinyime. Nadhani hufanya ivi ili kupata mda wa kuweza kutafakari mambo yake kwa umakini zaidi.

Big up Jide.

 

Attachments

  • 1392895084587.jpg
    48.4 KB · Views: 4,357

Sizani kama hayo unayo waza ndio anayo yawaza yeye..
 
kuna wakati nalala kwenye carpet nikiona uvivu kwenda room
 
Mimi mpenzi sana wa kulala kwenye sofa kuliko kitandani!
 
Sidhani kama ni kila siku hiyo kuna siku waweza kuamua kulala

kwenye sofa na kitanda unacho
 

Usikute fikra zako zinakutuma kuwa akinenepa anakuwa na umbo la Masogange.
 
Kwenye kipindi chake mbona niliona ana bonge la kitanda!!!!!labda siku nyingine anapendelea mechi za mchangani

well said binti si unaona maji pembeni hayo walitumia kujipozea baada ya match ya usiku kucha.inaoneka hii match ilikuw tamu kuliko zote
 
kulala kwenye busati ni vyema sana kwa afya yako na viungo vyako. hii migodoro ya Dodoma haifai kabisa kulalia, mwenye uwezo wa kupata godoro la sufi ndio bora kwa afya na viungo vyako na usingizi mwororo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…