Sizani kama hayo unayo waza ndio anayo yawaza yeye..
Nimeona mkuu..unataka kusema anatafuta kick?
hio ndo point... being a celebrity is another issue..
and beibg in a top level is another level..
A ah ah aaah, mi nadhan uhodari wake wa kuimba nyimbo Kali na zenye swaga za kipekee ndo zinazomfanya awe juu..sidhan kama jide ana heavy scandal kihivyo kusema anazitegemea zimeweke juu