Hapa ndipo ninapoichukia pombe!!!

Utamu wake anaujua mwenyewe hapo angekuwa hajalewa angeumia vibaya sana sema shetani akizima akili yako anabaki kukulindia mwili usiumie.
😀😀😀😀 Nilishawahi kuruka mtaro wa barabara pale external ubungo wakati niko vyombo,nilifanya kisanga kimoja nikatolewa nduki daah sikuamini hata niliwezaje kuruka....Fu.ck Pombe🙁🙁🙁
 
Huyu ni alcoholic, kwanza pombe si mbaya kama watu wengi wanaitafsiri

1. Kunywa pombe na chakula tu hii ina kusaidia ku control limit.

2. Kunywa unit 1-2 baada ya kazi kama relaxation.
And one for the road....
 
😀😀😀😀 Nilishawahi kuruka mtaro wa barabara pale external ubungo wakati niko vyombo,nilifanya kisanga kimoja nikatolewa nduki daah sikuamini hata niliwezaje kuruka....Fu.ck Pombe🙁🙁🙁
[emoji23] kumbe ni chapombe mzoefu tupo nawe humu, aisee uliona kama unaruka mto Nile.
 
endeleeni kunywa kwa pesa zenu mtu asiwapangie
 
Huyu ni alcoholic, kwanza pombe si mbaya kama watu wengi wanaitafsiri

1. Kunywa pombe na chakula tu hii ina kusaidia ku control limit.

2. Kunywa unit 1-2 baada ya kazi kama relaxation.
Unit 1-2 ni chupa ngp Mkuu?
 
sio kweli
huyo kamix vitu vingi humo mwilini kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…