Hakika kwa mfano kuran ni blueprint ya fujo, ubakaji, uuaji na chuki.Lisemwalo lipo ila DINI wanaficha sana Madini kama haya kwa maslahi Yao.
We hicho kitabu umekisoma na umeweza kufanya uchawi?Kuna vitabu viliondolewa kwenye Biblia tunayoitumia leo wakati wa mchakato wa kukusanya maandiko karne nyingi zilizopita. Kati ya hivyo, Kitabu cha Henoko (The Book of Enoch) ndicho chenye siri nzito zaidi na kimekuwa maarufu sana kwenye ulimwengu wa giza na ushirikina.
Kabla hatujafika mbali, weka hii akilini: Kitabu hiki hakipo kwenye Biblia za kawaida (Kiprotestanti au Kikatoliki) tunazozisoma kila siku. Kipo tu kwenye Biblia ya Kanisa la Kiorthodox la Ethiopia.
Kwanini kitabu hiki kimekuwa "msahafu" wa watu wanaofanya mambo ya giza na uchawi? Hapa kuna sababu kuu tatu: 👇
1. Chimbuko la Uchawi na Elimu ya Giza.
Kwenye Biblia ya sasa (Mwanzo 6), inatajwa kwa ufupi sana kuwa "wana wa Mungu waliona binti za wanadamu ni wazuri wakawaoa." Lakini Kitabu cha Henoko kinaingia ndani zaidi:
Kinaeleza kuwa wale viumbe walikuwa ni Malaika walioasi (The Watchers) wakiongozwa na kiongozi wao aitwaye Semyaza na mwenzake Azazeli.
Kitabu kinafafanua kuwa malaika hawa, ili wakubalike na wanawake wa duniani, waliamua kuwafundisha siri za mbinguni ambazo wanadamu hawakutakiwa kuzijua. Wakawafundisha uchawi wa mitishamba, jinsi ya kupiga ramli, unajimu (astrology), jinsi ya kusoma nyota, na jinsi ya kutengeneza silaha za vita na vipodozi vya kurembusha uso. Hapa ndipo wachawi wanapoamini kuwa ndio chimbuko la nguvu zao.
2. Majina ya Malaika Walioasi.
Kwenye vitabu vingine, majina ya mapepo au malaika walioasi hayatajwi kwa undani. Lakini Kitabu cha Henoko kinataja majina ya viongozi wote 20 wa malaika hao walioasi na kazi zao za giza walizokuwa wanazifanya duniani. Watu wanaojihusisha na mambo ya kishirikina na kupandisha mapepo hutumia majina haya yaliyopo kwenye kitabu hiki kufanya matambiko yao ya dharura.
3. Siri za Kufungwa kwa Majini na Mapepo
Kitabu hiki kinaeleza jinsi malaika hao walioasi walivyohukumiwa na Mungu na kufungwa chini ya ardhi kwenye mabonde ya giza hadi siku ya kiama baada ya kuzalisha majitu (Nephilim) yaliyokula watu. Watu wanaofanya ramli na uchawi wa hali ya juu hutumia maandiko haya wakiamini yanawapa "mamlaka" au mbinu za kuwasiliana na viumbe hao waliofungwa chini ya ardhi ili kupata utajiri au nguvu za giza.
Kitabu cha Henoko chenyewe hakikuandikwa na wachawi, na kilitajwa hata kwenye agano jipya (Waraka wa Yuda 1:14). Ni kitabu cha historia ya kale kinachofafanua mambo ambayo Biblia ya sasa imeyaacha kwa ufupi. Tatizo ni kwamba, watu wa mambo ya giza wamechukua yale mafundisho ya siri ya malaika walioasi na kuyageuza kuwa miongozo yao ya kishirikina.
Viongozi wa dini wanadai kukisoma kitabu hiki ni hatari na kinaleta mafundisho ya mashetani. Lakini mimi nasema hivi: kukificha ni uoga wa kifikra. Kuzuia watu wasijue chimbuko la mambo ya giza hakukufanyi uwe mtakatifu, kunakufanya tu uwe mjinga wa historia. Maarifa hayaondoi imani yako!
Ukitaka kujua mwanzo wa uchawi basi unatakiwa kujua mwanzo wa majini ...majini ndiyo uchawi hakuna uchawi pasipo majiniKuna vitabu viliondolewa kwenye Biblia tunayoitumia leo wakati wa mchakato wa kukusanya maandiko karne nyingi zilizopita. Kati ya hivyo, Kitabu cha Henoko (The Book of Enoch) ndicho chenye siri nzito zaidi na kimekuwa maarufu sana kwenye ulimwengu wa giza na ushirikina.
Kabla hatujafika mbali, weka hii akilini: Kitabu hiki hakipo kwenye Biblia za kawaida (Kiprotestanti au Kikatoliki) tunazozisoma kila siku. Kipo tu kwenye Biblia ya Kanisa la Kiorthodox la Ethiopia.
Kwanini kitabu hiki kimekuwa "msahafu" wa watu wanaofanya mambo ya giza na uchawi? Hapa kuna sababu kuu tatu: 👇
1. Chimbuko la Uchawi na Elimu ya Giza.
Kwenye Biblia ya sasa (Mwanzo 6), inatajwa kwa ufupi sana kuwa "wana wa Mungu waliona binti za wanadamu ni wazuri wakawaoa." Lakini Kitabu cha Henoko kinaingia ndani zaidi:
Kinaeleza kuwa wale viumbe walikuwa ni Malaika walioasi (The Watchers) wakiongozwa na kiongozi wao aitwaye Semyaza na mwenzake Azazeli.
Kitabu kinafafanua kuwa malaika hawa, ili wakubalike na wanawake wa duniani, waliamua kuwafundisha siri za mbinguni ambazo wanadamu hawakutakiwa kuzijua. Wakawafundisha uchawi wa mitishamba, jinsi ya kupiga ramli, unajimu (astrology), jinsi ya kusoma nyota, na jinsi ya kutengeneza silaha za vita na vipodozi vya kurembusha uso. Hapa ndipo wachawi wanapoamini kuwa ndio chimbuko la nguvu zao.
2. Majina ya Malaika Walioasi.
Kwenye vitabu vingine, majina ya mapepo au malaika walioasi hayatajwi kwa undani. Lakini Kitabu cha Henoko kinataja majina ya viongozi wote 20 wa malaika hao walioasi na kazi zao za giza walizokuwa wanazifanya duniani. Watu wanaojihusisha na mambo ya kishirikina na kupandisha mapepo hutumia majina haya yaliyopo kwenye kitabu hiki kufanya matambiko yao ya dharura.
3. Siri za Kufungwa kwa Majini na Mapepo
Kitabu hiki kinaeleza jinsi malaika hao walioasi walivyohukumiwa na Mungu na kufungwa chini ya ardhi kwenye mabonde ya giza hadi siku ya kiama baada ya kuzalisha majitu (Nephilim) yaliyokula watu. Watu wanaofanya ramli na uchawi wa hali ya juu hutumia maandiko haya wakiamini yanawapa "mamlaka" au mbinu za kuwasiliana na viumbe hao waliofungwa chini ya ardhi ili kupata utajiri au nguvu za giza.
Kitabu cha Henoko chenyewe hakikuandikwa na wachawi, na kilitajwa hata kwenye agano jipya (Waraka wa Yuda 1:14). Ni kitabu cha historia ya kale kinachofafanua mambo ambayo Biblia ya sasa imeyaacha kwa ufupi. Tatizo ni kwamba, watu wa mambo ya giza wamechukua yale mafundisho ya siri ya malaika walioasi na kuyageuza kuwa miongozo yao ya kishirikina.
Viongozi wa dini wanadai kukisoma kitabu hiki ni hatari na kinaleta mafundisho ya mashetani. Lakini mimi nasema hivi: kukificha ni uoga wa kifikra. Kuzuia watu wasijue chimbuko la mambo ya giza hakukufanyi uwe mtakatifu, kunakufanya tu uwe mjinga wa historia. Maarifa hayaondoi imani yako!
Majini ni wapi tena? Uchawi ni fani kama fani nyingine , majini ni viumbe ..Wazungu walikuwa mpaka na amshindano ya uchawi miaka ya nyuma . Uchawi ulikuwa mkubwa mpaka kuwatishia watawala , hapo ulianza kupigwa marufuku ila majini ni viumbe , hiyo ni kwa mujibu wa historia.Ukitaka kujua mwanzo wa uchawi basi unatakiwa kujua mwanzo wa majini ...majini ndiyo uchawi hakuna uchawi pasipo majini
mmh! Mbna kama una2panga jombaa vipi kuhusu ubaguzi ulioko amerika dhidi ya watu weusi au ule wa south africa dhidi ya wageni navip kuhusu wakasisi wa kanisa katoliki kubaka na kunyanyasa watoto kingon je fujo nazo zawalowezi wakiyahudi ukingo wa magharibi nayo ni quran ovaHakika kwa mfano kuran ni blueprint ya fujo, ubakaji, uuaji na chuki.
Huenda wakatoliki wanakitumia hicho kitabu kwa siri ndio maana wapo mbele kiuchumi na kiutawala.Kuna vitabu viliondolewa kwenye Biblia tunayoitumia leo wakati wa mchakato wa kukusanya maandiko karne nyingi zilizopita. Kati ya hivyo, Kitabu cha Henoko (The Book of Enoch) ndicho chenye siri nzito zaidi na kimekuwa maarufu sana kwenye ulimwengu wa giza na ushirikina.
Kabla hatujafika mbali, weka hii akilini: Kitabu hiki hakipo kwenye Biblia za kawaida (Kiprotestanti au Kikatoliki) tunazozisoma kila siku. Kipo tu kwenye Biblia ya Kanisa la Kiorthodox la Ethiopia.
Kwanini kitabu hiki kimekuwa "msahafu" wa watu wanaofanya mambo ya giza na uchawi? Hapa kuna sababu kuu tatu: 👇
1. Chimbuko la Uchawi na Elimu ya Giza.
Kwenye Biblia ya sasa (Mwanzo 6), inatajwa kwa ufupi sana kuwa "wana wa Mungu waliona binti za wanadamu ni wazuri wakawaoa." Lakini Kitabu cha Henoko kinaingia ndani zaidi:
Kinaeleza kuwa wale viumbe walikuwa ni Malaika walioasi (The Watchers) wakiongozwa na kiongozi wao aitwaye Semyaza na mwenzake Azazeli.
Kitabu kinafafanua kuwa malaika hawa, ili wakubalike na wanawake wa duniani, waliamua kuwafundisha siri za mbinguni ambazo wanadamu hawakutakiwa kuzijua. Wakawafundisha uchawi wa mitishamba, jinsi ya kupiga ramli, unajimu (astrology), jinsi ya kusoma nyota, na jinsi ya kutengeneza silaha za vita na vipodozi vya kurembusha uso. Hapa ndipo wachawi wanapoamini kuwa ndio chimbuko la nguvu zao.
2. Majina ya Malaika Walioasi.
Kwenye vitabu vingine, majina ya mapepo au malaika walioasi hayatajwi kwa undani. Lakini Kitabu cha Henoko kinataja majina ya viongozi wote 20 wa malaika hao walioasi na kazi zao za giza walizokuwa wanazifanya duniani. Watu wanaojihusisha na mambo ya kishirikina na kupandisha mapepo hutumia majina haya yaliyopo kwenye kitabu hiki kufanya matambiko yao ya dharura.
3. Siri za Kufungwa kwa Majini na Mapepo
Kitabu hiki kinaeleza jinsi malaika hao walioasi walivyohukumiwa na Mungu na kufungwa chini ya ardhi kwenye mabonde ya giza hadi siku ya kiama baada ya kuzalisha majitu (Nephilim) yaliyokula watu. Watu wanaofanya ramli na uchawi wa hali ya juu hutumia maandiko haya wakiamini yanawapa "mamlaka" au mbinu za kuwasiliana na viumbe hao waliofungwa chini ya ardhi ili kupata utajiri au nguvu za giza.
Kitabu cha Henoko chenyewe hakikuandikwa na wachawi, na kilitajwa hata kwenye agano jipya (Waraka wa Yuda 1:14). Ni kitabu cha historia ya kale kinachofafanua mambo ambayo Biblia ya sasa imeyaacha kwa ufupi. Tatizo ni kwamba, watu wa mambo ya giza wamechukua yale mafundisho ya siri ya malaika walioasi na kuyageuza kuwa miongozo yao ya kishirikina.
Viongozi wa dini wanadai kukisoma kitabu hiki ni hatari na kinaleta mafundisho ya mashetani. Lakini mimi nasema hivi: kukificha ni uoga wa kifikra. Kuzuia watu wasijue chimbuko la mambo ya giza hakukufanyi uwe mtakatifu, kunakufanya tu uwe mjinga wa historia. Maarifa hayaondoi imani yako!
Sahihi.Ukitaka kujua mwanzo wa uchawi basi unatakiwa kujua mwanzo wa majini ...majini ndiyo uchawi hakuna uchawi pasipo majini
Asilimia kubwa ya uchawi lazima jini ahusike.Majini ni wapi tena? Uchawi ni fani kama fani nyingine , majini ni viumbe ..Wazungu walikuwa mpaka na amshindano ya uchawi miaka ya nyuma . Uchawi ulikuwa mkubwa mpaka kuwatishia watawala , hapo ulianza kupigwa marufuku ila majini ni viumbe , hiyo ni kwa mujibu wa historia.
Kumbe uchawi ni siri za mbinguni ambazo wanadamu hawakutakiwa kuzijua na sasa wamezijua. So, huko mbinguni kuna uchawi na wanaokaa huko wanakiongozi wao..yawezekana ndo akawa chanzo cha uchawi na mchawi mwenyewe ila hakutaka watu wajue. Shetani na hao Malaika waasi wengine wamewasanua mengi sana wanadamu😁😁😁Shetani alitusanua kuvaa nguo/Kujisitiri maana tulikuwa uchi tu bustanini. Tuwatafakari vzur sana hao wanaoitwa waasi yawezekana ndo wako sahihi kutukomboa kutoka kwenye utumwa fulani ndo maana bwana yule kwenye vitabu vyake anatia mikwara kutuchoma moto na huku anasema anatupenda sana ametupa uhuru wakuchagua tutakavyo.Kuna vitabu viliondolewa kwenye Biblia tunayoitumia leo wakati wa mchakato wa kukusanya maandiko karne nyingi zilizopita. Kati ya hivyo, Kitabu cha Henoko (The Book of Enoch) ndicho chenye siri nzito zaidi na kimekuwa maarufu sana kwenye ulimwengu wa giza na ushirikina.