Hapa ndipo utakapojuwa kuwa Wasafi bila Diamond ni kama genge la wavuta bangi

Hapa ndipo utakapojuwa kuwa Wasafi bila Diamond ni kama genge la wavuta bangi

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Kuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.
 
Bora wafungiwe ili na wengine wajue kuwa BASATA nao wapo. Sio kwa Ambaruti tuu bali kwa kila msanii asiyetii masharti. Akaimbe kwa majirani zetu au EU.
Kweli kabisa mkuu
 
Kamati ya roho mbaya ni maskin, wengine wamefurah kufungiwa
 
Masaa mwaili yaliyopita babu tale amepost kuwa tarehe 26 wapo kenya acha kupambisha mambo subiri kwanza
 
Nani wa kumfungia DIAMOND PLATNUM., mnajipa moyo humu nawacheki huku najichekea tuu


Mziki bado unapigwa na wasafi festival ipo kama kawaida,mashabiki kaeni tayar
 
Back
Top Bottom