Hata wakifungiwa miaka kumi ni freshi tu maana ni Sheria ambayo ni kama msumeno, hukata huku na kuleWakifungiwa miaka hata sita wewe na familia yako maskini mnapata nini?
Wewe wasema, Ila Diamond je?Ili mradi wasilale njaa,wana pesa tayari
Kweli kabisa mkuuBora wafungiwe ili na wengine wajue kuwa BASATA nao wapo. Sio kwa Ambaruti tuu bali kwa kila msanii asiyetii masharti. Akaimbe kwa majirani zetu au EU.
Hata Demu atafika hatua atamfungia kutoa pus...... Kama hakuna mtonyo unaoingiaNaskia diamond anaenda kuishi kenya pamoja na tanasha
Mtonyo ataupatia kulekule kwa demu wakeHata Demu atafika hatua atamfungia kutoa pus...... Kama hakuna mtonyo unaoingia
Hatutasikia nyimbo za mitusiWakifungiwa miaka hata sita wewe na familia yako maskini mnapata nini?
Hahaa naona huko leo " wafanya partNatanga na gudu ee natanga la mkenya ee nahangaikaaa lakini mlezi yupoooo shida juu ya basata
HakikaHata wakifungiwa miaka kumi ni freshi tu maana ni Sheria ambayo ni kama msumeno, hukata huku na kule
HahaaBora wafungiwe ili na wengine wajue kuwa BASATA nao wapo. Sio kwa Ambaruti tuu bali kwa kila msanii asiyetii masharti. Akaimbe kwa majirani zetu au EU.