Wakaka tupeni kila kitu kwa volume,quantity and quality mnayoweza iwe pesa, gari, tununulieni nguo,viwanja incase kabla ya kutuoa rasmi (kuishi pamoja)
ila musifanye hili
Msitusomeshe/Lipia gharama za kozi ndefu (miaka miwili kuendelea form 5&6,Diploma,degree kwa kuongozwa na mapenzi ya LOVE (not yale ya Agape)ahadi za ntakuja kuwa mkeo.
Nimegundua wakaka wengi hutaman kufa pindi wanaposalitiwa na wadada waliowalipia gharama za masomo kuliko hata waliwasaidia mambo wengine hata kama yana gharama kubwa kuliko masomo.
My take:Ukimsomesha mdada anza kufanya mazoezi ya kuzuia BP kubwa manake kuna siku kitawaka tu.
i sware to my God angekuwa kaka yangu anakulipia ningemshawishi avune kwanza mtoto mmoja ndio uendelee na masomo.Samahan lakinDou kwahiyo nisilipiwe haka ka ma* kangu mbona hivyo marytina
wewe leta utani lakini juzi jmosi mkaka kapelekwa hospital hoi kameza midawa kisa demu aliyemsomesha.vipi mamito....tayari umemliza mpatia mtu BP na sheli eeh!!
thank dear!Nitamsomesha msichana kwa misingi ya undugu au familia yake imeshindwa kumsadia hivyo nampa msaada kama mwanadamu mwingine. Kaka yangu alimsomesha msichana kutoka sekondari (O-Level) mpaka akapata kazi, baada ya kuanza kazi akampata jamaa na kubeba mimba mara moja kaka yangu akabaki analia kama mtoto mdogo nusura ajiuwe na maisha yake yakaharibika mpaka leo. Kaka alimgaramia huyo binti kwa zaidi ya miaka 8. Kutoka na jambo hilo nilishajiwekea msimamo wangu " kamwe siwezi kumgaramia masomo mwanamke kwa kigezo cha kumuoa" nitamsomesha mwanamke ambaye ni mke wangu. Na watoto wangu nitawaeleza hilo jambo tokea wakiwa na umri wa miaka 15, "kumsomesha mwanamke kwa kigezo cha kumuoa ni sawa na kuugua kansa ya damu, kamwe wasijaribu kufanya hivyo".
Husy usiombe kaka yako aingie kwenye scandal hii.Mimi mjomba kaka yangu flani alitaka jiweka kamba kisa mdada aliyemsomeshaKumlipia mtu masomo ni kama umefanya investment kubwa sana na mkaka hategemei -ve return ndio maana wanaumia sana.
Tunakabidhiwa funguo ya gari kadi anabaki nayo mwenyewe. Vikichacha unanyang'anywa gari fasta. Ila akikukosomesha hana ujanja. Aaah! Wakaka tusomesheni bwana, hatutaki magari. Hela za mafuta zenyewe hamtupi.
Husy usiombe kaka yako aingie kwenye scandal hii.Mimi mjomba kaka yangu flani alitaka jiweka kamba kisa mdada aliyemsomesha
wapo rafiki zangu hayo mambo yamewakuta. Mimi nafikiri wakaka wanaposomesha wapenzi wao wasiwekee asilimia mia kwamba watawaoa kama vumbi alivyosema.
Ila ni vizuri kuwaendeleza wapenzi wenu na mchukulie ni jambo la kawaida kama mambo mengine mnayowafanyia.
wewe leta utani lakini juzi jmosi mkaka kapelekwa hospital hoi kameza midawa kisa demu aliyemsomesha.[/QUOTE]
Ikiwa huyu kaka alihisi katumiwa kwa kumsomesha baadaye kuwekwa kando, inaonesha na yeye pia alikuwa anatumia pesa zake kutaka kununua penzi. Kama angekuwa kaka mwenye akili kidogo, angeshukuru kuwa imetokea hiyo mapema mara tu baada ya dada kumaliza masomo, vyenginevye "angeliendelea na biashara" isiyolipa maisha. Mapenzi hayanunuliwi.
Unapomsomesha mtu ili kutoka ujinga na baadaye anakuwa mjinga zaidi, mwepuke kama njaa.
Lakini mimi jamani kuna kitu najiuliza.
Hivi kaka unampenda mtoto wa form one, unamsomesha kwa malengo ya kuoa huoni kama huyu dada ni mdogo na akili yake inabadilika kadiri anavyokua na anavyozidi kukutana na watu wa aina mbalimbali?
Sio kweli kwamba moyo wa huyu binti utakuwa umefanya maamuzi thabiti kwamba wewe ni mume wake!! Hata kama wakati huo atajiona hivo, lakini naamini kuna kipindi atawaona watu wanaomvutia na anaowapenda yeye kwa nafsi yake mwenyewe. Na ufahamu wake uliokomaa kwa wakati huo.
Kwa upande mwingine binti wa hivi simlaumu hata kidogo. Bora hata wa chuo.....na hata wa chuo bora umuoe ujue unasomesha mke wako. Vinginevyo msaidie tu kama mwanadamu wa kawaida ikitokea akawa mke, unashukuru.