Kwanza lazima ujue u dereva Ni Nini,
Hata ukiwa dereva wa miaka 30 ikija gari mpya yenye mifumo mipya Ni lazima ufundishwe namna inaendeshwa ,, licha ya gari mpya zinaweza wepo za zamani ambazo hujawahi ziendesha hivo haiwezi kukufanya usiwe dereva,, manual na auto Ni mifumo tu
Leo hii Kuna baadhi ya gari hata ukipewa key hautaweza washa Wala kujua linawashiwa wapi hivyo haiwezi kukufanya usiwe dereva Ni kwamba umekutana na gari hujawahi endesha ila control yako iko pale pale
Kuna super car moja bila kukanyaga brake Mara mbili haiwaki, na funguo Ina sumaku Ni Kama ki remote TU unakiweka sehemu kinanata na hapo ndo gari inakuwa on una press pedal ya brake Mara mbili Kisha una push button inawaka