kelvinzakar
Member
- Apr 4, 2019
- 41
- 32
Wadau mi wakuja humu ndo nimeshuka ubungo wiki hii kutoka mkoa wa facebook ambao auna faida humu naona maisha mazuri mnipokee wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana nduguKaribu Jf Mr hujachelewa.
KwiikwiiikwiiiiTUNAKUKARIBISHA MGENI KARIBU ILA KABLA HATUJAENDA MBALI SANA WANA JF WANGEPENDA KUTAMBUA HAYA KUTOKA KWAKO
TUNAOMBA USHIRIKIANO WAKO KATIKA KUJAZA FOMU HII HAPA CHINI ASANTE.
Majina yako matatu
Picha mbili moja full nyengine passport size
Unfanya kazi wap?
Je umeoa?au una mchumba
Je una watoto?
Kama unao ni wangap?
Unatokea mkoa gan?
Jaza hyo fomu Ya kwanza kisha nikupe karatasi Ya pili.