ASCUDA T
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 120
- 33
Kwanza nawasalimu wote. ndugu zangu naomba ushauri wenu hivi kuna ndugu yangu alikuwa anafanya kazi kama mlinzi mali asili. Ila mwaka jana alishitakiwa kwa kuiba jenereta la ofisi.
Alipopelekwa polisi jenereta lilipatikana na likachukuliwa na ofisi bila kuwasiliana na mahakama. Ila kesi inaendelea na mashahidi washatoa ushahidi na mmoja kakiri kuwa mali yao hipo Ofisin.
Pili mpelelezi wa kesi aliidanya mahakama na kusema jenereta lipo kituo cha polisi baada ya mshitakiwa kumbana alisema lipo ofisini mali asili. Lakini alikamatwa na washitakiwa wengine kwamba alishirikiana nae ila waliachiwa na polisi kituoni.
Je jamani waelewa hii kesi mnaionaje, je ndugu yangu atapona hapa au atafungwa?