Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mtu anaanzisha uzi kulalamika akitaka Serikali iliangalie hili suala. Iingilie kati n.k suala ambalo ni la mtu binafsi. Mtu analalamika kuwa kuna wanawake wanacheza huku wanaingiza chupa kwenye uchi zao. Serikali iingilie kati.
1. Huo uchi ni wa nani?
2. Hizo chupa wanazoingiza ni za nani?
Yaani mnafikia hatua mnataka wapangia watu matumizi ya vitu vyao? Juzi nimepita sehemu nimemwona mtu anakunywa petrol sijui kerosene halafu anapuliza moto unakuwa kama unatokea mdomoni.
Sijaona mtu analalamika kuwa Serikali iingilie kati suala hili. Lakini wadada wa watu wakiamua kuingiza chupa sehemu zao za wazi inakuwa nongwa. Waacheni wa enjoy. Msiisumbue serikali. Hizo sehemu ni zao na chupa ni zao. Hakuna anayepoteza kitu hapo kusema labda chupa yake iliingizwa ikapotelea huko so anapata hasara kila wakati.