Hapa ni kupoteza Ada

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523


Kama Mzazi unaona picha ya mtoto wako kwenye Magazeti ya udaku! Utafanyaje?

 
Loh. . .
Is that Mh Zitto?

Wazazi wenye mabinti mbona wana kazi.
 
Kupoeza ada! Atafaulu somo la kukatika we hujui tuuu! Unaweza ukazimia ivivi
 
Ntajua wanamsingizia kipanga wangu....ntawapotezea kama siwaoni vile
 
Binti yuko from two huyo! Heri hiyo fedha ya ada baba alewee
 
Unapomponda mtoto/ndugu wa mwenzako hujui wa kwako anafanya yapi usiyoyajua.......siku hizi watoto wengi wako hatarini, hata wa kwenu hawako salama!muache kumnyooshea huyu dogo vidole....
 
@ Lizzy naona umeanza kuzeeka macho nayo yanapoteza nuru...lol Zitto na hereni, skin jeans wapi na wapi?
 
Mtoto wa mwenzio ni Mkubwa mwenzako lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…