Hapa ni kupoteza Ada

Yaani uki-imagine tu kwamba mwanao mwenye miaka 12 jamaa tayari wanampigisha pushapu! Inauma sana.
 
nitampeleka chuo cha bwagamoyo ajifunze zaid ya hicho
 
Aisee kama huyo ni mwanangu atakula viboko hadi ashindwe kukaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…