Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Habari zenu wana jukwaa..!! Poleni na shughuli za ujenzi wa taifa. Leo naomba iniwekee misemo uliyowahi kukutanana nayo ikakufurahisha, kuchekesha au ilikushangaza..
Mimi naanza na huu hapa:
_DUA ZENU WAPENDWA_ *Nakatisha mtaa wa jangwani mda huu nimebeba mbao*[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni baada ya Yanga Fc kutolewa kwenye kombe la FA na Mbao Fc
Pia kuna huu mwingine,:
*nimeangalia tamthilia ya kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana, wanajifunza maudhui yake kweli?*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkinuna poa tu ndo nishasema.
Wana jukwaa karibuni na nyie mtoe ya kwenu....[emoji5] [emoji5]