Dar es Salaam......Kivukoni posta iyo,karibu na kivuko cha pantoni
Mbona swali lako lipo open sana au lengo lako ndo hatujafahamu kama una mchongo sema
Hapo ni town barabara inayoenda kivukoni ukisogea tu mbele hapo utajionea maajabu shilingi inazama meli inaelea
Umeuliza umejibiwaHangover ya uchaguzi au??