Ebwana wanaJF Mzuka!
Bado siamin kabisa had sasa napoandika hii posti jina lang alijaorodheshwa kwenye Orodha ya matajir waliotunza hela Panama.
Nilishikwa na waswas na kukosa aman toka jana usik posti ya Orodha ya Panama watanzania ilipo letwa hum. Sikulala kabisa nikawasiliana na jopo la wanasheria wang kuwaweka stendby if anything happens whatsoever we will vigorously challenge the outcome legally.
Am so much relieved. Kwasabab ningeorodheshwa kwenye iyo listi maisha yang ya kawaida na usir niliyozoea kuish yangebadilika ghafla. Wengine we put a low profile lakin financial data zet zikiwekwa waz italeta kizaazaa.
Ila Bado nawaswas tu