Hapa nimechanganyikiwa, siku yangu kufanyiwa interview na utumishi ndio Siku ya Harusi yàngu. Nifanyeje?

Watibeli huwa hawafanyi sherehe sasa sijui umeamua kuvunja miiko
 
Mbona ni rahisi tu Funga Ndoa kisha uje kulala Njaa au nenda katika Interview upate Kazi ili uje kula Bata zaidi baadae.
 
Nimefanya Kazi nyingi Ambazo zimenisahaulisha hata nilikuwa nasomea nini.
Samahani hizi kazi ndiyo zimekupa hiki?? Au umeamua kuchangamsha genge!

"Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu"

Kuna mtu aliuliza bei ya plot

Wewe ulijibu hivi:

32m

 
Kapige usaili saa moja ndoa kafunge mchana jioni unapata matokeo huku umelala kifuani kwa mkeo ukiuugulia maumivu ya mkando kifuani mwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…