habarin, nimechaguliwa diploma ya nursing na NACTE, mimi siipendi hii kozi nimeamua kutafuta chuo kingine cha diploma ya clinical officer ambacho mwaka huu ndo kinaanza hivyo hakijaingizwa kwenye system ya NACTE/CAS bali wao wanagawa fomu alafu unaenda kufanya interview ukifaulu unachaguliwa, ninachotaka kujua,je endapo nikichaguliwa itakuwaje kwenye hiki chuo ambacho NACTE wamenichagua? hakuna madhara yoyote nitakayoyapata kutoka NACTE? (4nx)