Hapa sasa angalau tunaweza jivunia na elimu yetu.

ScalarQ

Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Kuna Kipindi katika kuperuzi peruzi kwangu nkakutana na hii site iitwayo MeetNawe Welcome , ilinibidi kuiangalia mara mbili mbili kuamini ni zao la vijana wa hapa hapa Tanzania. Pia nilishangaa kuona bado haifahamiki na watanzania ila hilo ni kwa sababu ndio kwanza ina miezi michache tu toka ianze. Hakika ni kazi Kubwa sana iliyofanywa, zaidi nimependa feature inayowatofautisha na mitandao mingine ya kijamii ambayo ni akaunti maalumu kwa ajiri ya vipindi vya radio na televisheni. Hongereni Sana Wausika na Tuwape sapoti jamani.
 
Naona ndio inaanza ndo mana, natumaini baada ya muda itachanganya tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…