Kajimaliza. Atavaa flana yenye picha ya mwenyekiti ?Uhuru wa kikatiba ni yeye mwenye maamuzi kama kaangalia private yake usimlaumu.
Ila sio wale chauma yani kama wametoka kuwa samsung wakawa nokia vitochi
Asali tamuKila la heri kwake.
Kila mtu anataka asali
HakikaAsali tamu
Hapa tunamzungumzia mtetezi wa Waislamu miaka 50Watu wengi wamegundua chadema ni chama cha kijinga, matusi mengi, hekima hakuna
Tunasubiri account yako kuja kukujibu ukitoa comment na kujibu commentWatu wengi wamegundua chadema ni chama cha kijinga, matusi mengi, hekima hakuna
Hahahaha😁😁😆😜. Samsung 5g hadi Nokia vitochi, hapa mkuu umebonyeza sana walah!Uhuru wa kikatiba ni yeye mwenye maamuzi kama kaangalia private yake usimlaumu.
Ila sio wale chauma yani kama wametoka kuwa samsung wakawa nokia vitochi
Ila angejitangaza ni mwana CCM ingekuwa poa siyo? Usimpangie Shekh Ponda maisha. Sheikh Ponda ni mtu anayejitambua siyo hao mashehena wenu wa BakwataKwa miaka yote ya maisha yako sijawahi kukusikia au kukuona unajiunga na chama cha siasa. Nilikuona ukitumia jukwaa la CHADEMA lkn hukujitambulisha kama mwanaCHADEMA wala kuvaa gwanda la CHADEMA, ulitumia jukwaa la CHADEMA lkn sijawahi kukuona ukishiriki vikao vya CHADEMA.
Lakini hivi sasa ni mwanachama kamili wa ACT Wazalendo na unatakiwa kuvaa shati la zambarau na flana yenye picha ya Mwenyekiti bi Dori na hatimae kugombea ubunge wa Jimbo moja wapo Dar au Kigoma.
Kujitangaza kwamba ni mwanact waziwazi hapa ndio umekosea na hivi sasa umekuwa mwanasiasa kamili.
Kazi ya miaka 50 yenye heshima kama mtetezi wa Waislamu imepotea bure hivi sasa.
Soma Pia: Sheikh Ponda ajiunga rasmi na ACT Wazalendo
Hivi sasa utakuwa kama sheikh marehemu Mtopea wa CCM.
Tunangoja tukikuona ukivaa flana yenye picha ya mama Dorith au Zitto kabwe
Safari ya kwenda CHAUMMA au CCM imewadia kwa sheikh ponda.
Wakati ni ukuta.
Ni kandamiza kizenji mix mchuzi wa pweza na viagara za watu wa tanganyika tukiwa kizimkazi tukimkuta john mrema anakula kungu na urojo.Hahahaha😁😁😆😜. Samsung 5g hadi Nokia vitochi, hapa mkuu umebonyeza sana walah!
Kama unajua historia ya ACT, chama kilichotokana na na CUF, hutashindwa kuelewa kwanini Ponda kajiunga na ACTKwa miaka yote ya maisha yako sijawahi kukusikia au kukuona unajiunga na chama cha siasa. Nilikuona ukitumia jukwaa la CHADEMA lkn hukujitambulisha kama mwanaCHADEMA wala kuvaa gwanda la CHADEMA, ulitumia jukwaa la CHADEMA lkn sijawahi kukuona ukishiriki vikao vya CHADEMA.
Lakini hivi sasa ni mwanachama kamili wa ACT Wazalendo na unatakiwa kuvaa shati la zambarau na flana yenye picha ya Mwenyekiti bi Dori na hatimae kugombea ubunge wa Jimbo moja wapo Dar au Kigoma.
Kujitangaza kwamba ni mwanact waziwazi hapa ndio umekosea na hivi sasa umekuwa mwanasiasa kamili.
Kazi ya miaka 50 yenye heshima kama mtetezi wa Waislamu imepotea bure hivi sasa.
Soma Pia: Sheikh Ponda ajiunga rasmi na ACT Wazalendo
Hivi sasa utakuwa kama sheikh marehemu Mtopea wa CCM.
Tunangoja tukikuona ukivaa flana yenye picha ya mama Dorith au Zitto kabwe
Safari ya kwenda CHAUMMA au CCM imewadia kwa sheikh ponda.
Wakati ni ukuta
Nimemsikiliza msimamo wake ni uleule bila mfumo HURU wa uchaguzi Ponda haendi kupiga kura.Shekh Ponda kama utaukubali huu uchaguzi wa kifirauni basi na wewe tutakuchukia na milele - wewe ni mtu wa msimamo na tunakupemda sana, umekosea njia.
Acha wivu wa kike wewe.Kwa miaka yote ya maisha yako sijawahi kukusikia au kukuona unajiunga na chama cha siasa. Nilikuona ukitumia jukwaa la CHADEMA lkn hukujitambulisha kama mwanaCHADEMA wala kuvaa gwanda la CHADEMA, ulitumia jukwaa la CHADEMA lkn sijawahi kukuona ukishiriki vikao vya CHADEMA.