Hapa Sheikh Ponda umekosea kujiunga na ACT Wazalendo

Kujitangaza kwamba ni mwanact waziwazi hapa ndio umekosea na hivi sasa umekuwa mwanasiasa kamili.
Kazi ya miaka 50 yenye heshima kama mtetezi wa Waislamu imepotea bure hivi sasa
Sasa Anakwenda Kuwatetea waTanzania wote Kwa maslahi ya wote! Pongezi ziwe kwake kweli kweli
#Nyani hasusiwi shamba Ni kumfugia mbwa wakali na mitego mingi lazima Uvune tu
 
ingekua makosa makubwa zaidi kujiunga na waropokaji wa Chadema waliopoteza uelekeo.

hata hivyo,
angejiunga Chadema ili kufanya nini kwasababu haitaki tena demokrasia 🐒
 
ingekua makosa makubwa zaidi kujiunga na waropokaji wa Chadema waliopoteza uelekeo.

hata hivyo,
angejiunga Chadema ili kufanya nini kwasababu haitaki tena demokrasia 🐒
 

atajua mwenyewe
 
Be frank, angejiunga Chadema ungelisema haya!?
 
Kajimaliza. Atavaa flana yenye picha ya mwenyekiti ?
Mbona wewe unavaa fulani yenye picha ya Samia huku umebinua kishundu na unakata miuno na watu hatusemi kitu,wacha ushamba dogo na usiwapangie watu waishije.
 
Missile of the Nation angalia huyu ustaadhi alichoandika
 
kuna watu wamevurugwa sana Sheikh Ponda kujiunga na ACT.
 
Ponda alikuwa CUF, na baada ya Maalim Seif kuinunua ACT wakahamia ACT. kwahiyo alichokifanya ni kudhihirisha tu kwenye media.
 
Leo na mkwe wangu marehem mzee Mtopea amekumbukwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…