Hapa Sheikh Ponda umekosea kujiunga na ACT Wazalendo

Dada Maria 2 una upumbavu mwingi sana.
 

hivi mnaposema “mtetezi wa waislamu” unamaanisha nini? mtetezi dhidi ya nani? na kwa nini waislamu watetewe ni wapi wanaonewa hadi watetewe? na kama wanaonewa ni nani anwaonea?
 
Watu wengi wamegundua chadema ni chama cha kijinga, matusi mengi, hekima hakuna
Hao watu wengi, labda na wale punguani kama wewe. Lakini mamilioni ya wenye akili timamu wapo CHADEMA, na wanaongezeka kila siku.
 
Sipati picha sheikh atavaaje sare za chama wakati wa kampeni! Ni mvaa kanzu yule, labda avae kanzu ya zambarau, na hiyo kanzu itafanana rangi na ya askofu mwamakula, ni rangi ya madhabahu ya kanisa fulani
 
Issue ya udini itammaliza sheikh ponda ACT.kulinda legacy yake angetulia tu na kuendelea kupigania haki za wauslamu na watanzania nje ya bunge.
 
Sipati picha sheikh atavaaje sare za chama wakati wa kampeni! Ni mvaa kanzu yule, labda avae kanzu ya zambarau, na hiyo kanzu itafanana rangi na ya askofu mwamakula, ni rangi ya madhabahu ya kanisa fulani
Atavaa tshirt na jeans na cap.
 
Sipati picha sheikh atavaaje sare za chama wakati wa kampeni! Ni mvaa kanzu yule, labda avae kanzu ya zambarau, na hiyo kanzu itafanana rangi na ya askofu mwamakula, ni rangi ya madhabahu ya kanisa fulani
Kwani Lowassa aliwahi kuvaa gwanda la CDM?
 
Naomba unikumbushe tu dada, hv Lowassa aliwahi kuvaa picha ya Mbowe au yeyote?
Au alikuwa akivaa sare za CDM?
 
kwa shehe ponda kuwa act, hapo wamekamilika sasa. chama sasa ndio kimekuwa cha kidini moja kwa moja. zito kapambana mno kujenga chama chenye mlengo wa dini pure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…