Hapa sheria inasemaje?

Hapa sheria inasemaje?

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
735
Shedi amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la mauaji...
Lakin wakat shed anamaliza kifungo chake inagundulika alifungwa kimakosa kwa kuwa mtu aliyedaiwa kuwa alimuua ilikuwa sio kweli..

Ghafla bin vuu, shed anamkuta mtaani mtu aliyedaiwa kumuua akiwa hai na wakati huo huo shedi aka amua kumuua...

Sasa kwa kuwa shedi alisha maliza kifungo cha adhabu ya kosa la mauaji (la kumuua huyo bwana) lakin lakin baada ya kutoka akamkuta mtu ambae alidaiwa kumuua.. ..

Sasa hukumu kwa bwana shedi hapa itakuwaje.... Inatakiwa ahukumiwe tena au aachwe kwa kuwa adhabu ya kumuua huyo mtu wake alisha itumikia?
 
Kwa style ya mawazo kama haya, kweli vyuma vimekaza aiseeeee......[emoji2] [emoji2]
 
Kitendawili cha Criminal procedure! Ngoja nifungue CPA ntarudi! Au tafuta Penal Code ujijibu
 
hana hatia kwa sababu huwezi ukahukumiwa kwa kosa moja mara mbili.
 
Back
Top Bottom