Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye Official Match au zile za kupigana Mikwara??Kwanini ampige Roman kwa viti huku kafungwa pingu. View attachment 720119
Hiii itakua ni ile ya mikwara, wamekuja km security hivi wakampiga pingu kabla hajaondoka ndo Brock akaingia. lakini bado nalisubilia pambano la hawa wawili japo cjajua nilini kwenye wristleKwenye Official Match au zile za kupigana Mikwara??
Zile za Kupigana Mikwara lolote laweza kutokea,Hiii itakua ni ile ya mikwara, wamekuja km security hivi wakampiga pingu kabla hajaondoka ndo Brock akaingia. lakini bado nalisubilia pambano la hawa wawili japo cjajua nilini kwenye wristle
Huu mchezo bana unaetakiwa kua nae makini ni referee, cheza rafu yoyote uwezavyo mradi tu referee asijue.Michezo ya kupangwa hiyo
Ova
Naamini hivo piaRoman Reign yupo yupo kwenye kifungo nahis amekuwa suspended na anataka , alionekana kama anataka kufanya vurugu kuna kauli alitoa wakati anaongea na General Manager kuwa aondoki kwenye ring pasipo kukabiliana na The Beast(Brock Lesnar).
Hii vurugu ya Roman Reign ilianza wiki iliyopita.
Huo ni ubabe kutokana attention ya mchezo.
Brock Lesnar na Roman Reign wanakutuna kwenye WrestleMania kushindania mkanda wa Universal Championship ikumbukwe kwa sasa hivi huu mkanda Brock Lesnar ndo anaushikiria na yeye kauchukua kutoka kwa Goldberg ambaye alikaa miaka 14 pasipo kupigana au kurejea kwenye ring. Mwaka uliopita alirejea kwenye ring alichukua Mkanda ndani ya dk 3 kutoka kwa Kelvin Owen Universal Championship.
But we believe that Roman Reign can take the title from Brock Lesnar
Nimehis Ni my wife mana anafatilia haya mambo hadi ananikeraZile za Kupigana Mikwara lolote laweza kutokea,
Waweza kumvizia mpinzani wako ukamvunja hata Mikono ili tu kwenye Official match asitokeee ukumbini.
Dogo I'd yako Ile umeamua kuikacha mazima [emoji1] [emoji1] [emoji1]Block lesner ni mwamba atawatwanga mno hao punga wanaosogeza pua
Ha ha haaa,Nimehis Ni my wife mana anafatilia haya mambo hadi ananikera
Kiboko yake ni Brown Strowman,Block lesner ni mwamba atawatwanga mno hao punga wanaosogeza pua
Hii sentensi ulioandika mwisho sidhani aisee,But we believe that Roman Reign can take the title from Brock Lesnar
Naona huachi utamaduni dp za footballAcha umbea broh itakutokea puani
Ile yule Mido uliomuweka mwanzo namwelewa zaidiWewe jamaa nitakuficha kama abdul nondo[emoji23]
YapWa ile ID ya mwanzo yule wa barca au?
Poa mi napiga veteran njoo kitaa nikuoneshe uwezoYule fundi sana na Mimi ndyo huwa naupiga mwingi kama yeye
Kwann uliacha Ile I'd dogoWa ile ID ya mwanzo yule wa barca au?
Mabatin uku tandikaKitaa gani mkuu?