Hapa sijamwelewa Brock Lesnar

Bismack

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
387
Reaction score
495
Kwanini ampige Roman kwa viti huku kafungwa pingu.
 
Kwenye Official Match au zile za kupigana Mikwara??
Hiii itakua ni ile ya mikwara, wamekuja km security hivi wakampiga pingu kabla hajaondoka ndo Brock akaingia. lakini bado nalisubilia pambano la hawa wawili japo cjajua nilini kwenye wristle
 
Hiii itakua ni ile ya mikwara, wamekuja km security hivi wakampiga pingu kabla hajaondoka ndo Brock akaingia. lakini bado nalisubilia pambano la hawa wawili japo cjajua nilini kwenye wristle
Zile za Kupigana Mikwara lolote laweza kutokea,
Waweza kumvizia mpinzani wako ukamvunja hata Mikono ili tu kwenye Official match asitokeee ukumbini.
 
Michezo ya kupangwa hiyo

Ova
Huu mchezo bana unaetakiwa kua nae makini ni referee, cheza rafu yoyote uwezavyo mradi tu referee asijue.
Hakuna cha Chama au Bodi itakayokuja kuku-punish kama ukifanikiwa kumcheat referee.
Kwenye Football ukim-cheat referee lakini wakaja kukuona kwenye mapitio ya video adhabu unayo
 
Roman Reign yupo yupo kwenye kifungo nahis amekuwa suspended na anataka , alionekana kama anataka kufanya vurugu kuna kauli alitoa wakati anaongea na General Manager kuwa aondoki kwenye ring pasipo kukabiliana na The Beast(Brock Lesnar).
Hii vurugu ya Roman Reign ilianza wiki iliyopita.
Huo ni ubabe kutokana attention ya mchezo.

Brock Lesnar na Roman Reign wanakutuna kwenye WrestleMania kushindania mkanda wa Universal Championship ikumbukwe kwa sasa hivi huu mkanda Brock Lesnar ndo anaushikiria na yeye kauchukua kutoka kwa Goldberg ambaye alikaa miaka 14 pasipo kupigana au kurejea kwenye ring. Mwaka uliopita alirejea kwenye ring alichukua Mkanda ndani ya dk 3 kutoka kwa Kelvin Owen Universal Championship.

But we believe that Roman Reign can take the title from Brock Lesnar
 
Naamini hivo pia
 
Zile za Kupigana Mikwara lolote laweza kutokea,
Waweza kumvizia mpinzani wako ukamvunja hata Mikono ili tu kwenye Official match asitokeee ukumbini.
Nimehis Ni my wife mana anafatilia haya mambo hadi ananikera
 
Mimi bana katika wanamieleka hao,huyo Roman reigns simpendi hata kidogo.kuna siku kaoigwa na Braun strouman hadi kwenye ambulance,nilifurai mbaya.ila moinzani wake mkubwa ni Braun strouman
 
But we believe that Roman Reign can take the title from Brock Lesnar
Hii sentensi ulioandika mwisho sidhani aisee,
Roman hamwezi The Beast,
Atajitahidi Spear zake kadhaa au Supermen Punch but akija kukamatwa kwenye Suplex City tu basi mchezo unaishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…