Hapa sijamwelewa Brock Lesnar

Brock lesnar na nguvu zote zile eti anavizia, imenikera sana
Imeshangaza pia, sikutegemea kweli.
Manake Brock Lesnr ni mpole pia,
Ndio maana hata ile Mikwala ya Jukwaani anamuachiaga Paul Heyman
 
Hiii itakua ni ile ya mikwara, wamekuja km security hivi wakampiga pingu kabla hajaondoka ndo Brock akaingia. lakini bado nalisubilia pambano la hawa wawili japo cjajua nilini kwenye wristle
Angalia wrestlemania mwezi ujao lesnar atatetea ubingwa wake (universal championship ) Dhidi ya Roman
 
Kwaiyo mtu anapo chomwa kisu kwenye movie anakufa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…