mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 538
Nina Kama mwaka mmoja sasa hivi naumwa sana miguu(makanyagio). Iko hivi, kila ninapoamka asubuhi nikikanyaga chini makanyagio yanauma sana na ili nitembee lazima nishike ukuta. Pia nikikaa muda mrefu inakuwa hivyo hivyo. Naomba msaada kwa wataalam wa humu jamvini