Hapa tatizo ni nini? Naomba msaada

mwanafyale

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
1,641
Reaction score
538
Nina Kama mwaka mmoja sasa hivi naumwa sana miguu(makanyagio). Iko hivi, kila ninapoamka asubuhi nikikanyaga chini makanyagio yanauma sana na ili nitembee lazima nishike ukuta. Pia nikikaa muda mrefu inakuwa hivyo hivyo. Naomba msaada kwa wataalam wa humu jamvini
 
Mmmmmmh! Jamani madoctor wa humu mmenisusia? Mwenzenu naumwa naombeni msaada tafadhali
 
Hivi umri wa kuishi kwa mtanzania si ni miaka 45 ? Sasa wewe unahangaikia nini wakati umeishakula 5 ya ziada
We kweli nyambafu. Ukifikisha hiyo ntakuona utakanyokuwa unaogopa hata kulala usije ukapitiliza ku rest in peace
 
pole sana ndugu..mimi sio doctor ila kwa ushauri jaribu kuangalia na viatu unavyovaa inawezekana vikachangia.kama ni.ofisini bas vaa sox nzito zitakazokufanya usiusikie unyayo ukiwa unatembea kama sivyo vaa raba zinazobonyea ndani hata kama ni sendoz angalia zinazobonyea...vilevile inabid ukachek figo maana weng wanaokuwa na matatizo ya figo miguu nayo huwasumbua sana...punguza chumvi kwenye chakula...kuna fangas pia ambazo huingia ndani ya unyayo na kufanya unyayo kuwa na madoamadoa meusi haya nayo husababisha miguu.kuuma sana...hebu tuwasubiri madoctor nao....ila kwa ushauri zaid nenda hosp ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…