Hapa tulipofikia ni hali ya hatari

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
1,160
Reaction score
1,195
Jana nilikuwa site flani za kiutu uzima za kitanzania.Mule Kuna kutafuta mchumba,marafiki,mke,gays (top n bottom) na kadhalika

Sasa nikajaribu kwa kuandka mi ni top, natafuta vesr nikaweka na email address pale..

Waungwana, nilichokikuta kwnye email yangu bado siamin, duuh hakika Ni HALI YA HATARI

Hivi kumbe ndio tumefikia apa eehh, EEHH MUNGU TUSAMEHE
 
We msukuma was dar malizia basi habari yote, unatuachaje jujuu tu hvyo?
 
Hii nayo ni thread[emoji15]
 
Mm hata sielewi maana ya top and bottom mnieleweshe.
 
Top na bottom ndo wakina nani?
 
Sipendi mkuu kukubembeleza akat ni wajibu wako kutuambia ulikutanini
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…