HAPA WENGINE WOTE MKASOME,,

Aiseee Thank you much,urafiki wa aina gani mkuu

Anyway rafiki nifumbulie hapa,naambiwa sio kasuku hapo bali kunatu mjanja kajiweka kikasuku,huyo mtu hata simuoni
 
Ni mtu kakaa kanyoosha mguu mmoja alafu, alafu uso wake upo hapo mahar ambapo jicho la kasuku lipo na kaweka mkono mmoja kichwan
Kutengeneza mdomo wa kasuku.
Aiseee Thank you much,urafiki wa aina gani mkuu

Anyway rafiki nifumbulie hapa,naambiwa sio kasuku hapo bali kunatu mjanja kajiweka kikasuku,huyo mtu hata simuoniView attachment 979643

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…