Ni mtu kakaa kanyoosha mguu mmoja alafu, alafu uso wake upo hapo mahar ambapo jicho la kasuku lipo na kaweka mkono mmoja kichwan
Kutengeneza mdomo wa kasuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh aisee welcome rafiki ila sio urafiki hadi nje ya JF
Asante bhana naona kuna "kauzinduzi"[emoji23][emoji23][emoji23]Am fine carba. Karibu tuongeze mchuzi kwenye mboga
Ee nje hapana
Ule wa kukutana GCMkuu, ulishamuomba urafiki akakukatalia? Au unaongelea urafiki wa aina gani?
[emoji31][emoji31][emoji21][emoji21][emoji45][emoji856][emoji30][emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikate tamaa mkuu hakuna linaloshindikana!
Asante bhana naona kuna "kauzinduzi"[emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani "anko"aje atie neno hapa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule wa kukutana GC
Numbisa[emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa anko akija anatoa baraka tu hana hiyana na mtu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kauzinduzi kananitokea puani
Uwii anko akija anaweza toa baraka fasta fasta,abaki tu hukoo alipo
Sasa hutaki kupelekwa konani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126] akhu nisijepelekwa kona ya bwiru
Nikumbushe hivi hilo jina lako ni dawa inayotumika kwa kutibu nn kweli?Asante bhana naona kuna "kauzinduzi"[emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani "anko"aje atie neno hapa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa anko akija anatoa baraka tu hana hiyana na mtu.Sasa hutaki kupelekwa konani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena kona ya bwiru[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu unaogopa kivuli chako mkuuDuh aisee welcome rafiki ila sio urafiki hadi nje ya JF
Nimekataliwa mwenzio tayar [emoji45][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa[emoji2960][emoji2960][emoji2958]Unaanza urafiki wa ndani, taratibu unaenda PM. Siku JF ikipigwa fataki ikakaaa haipatikani kwa masaa kadhaa, ikirudi unajieleza kwamba ulimmiss, hapo mnapeana namba ili ikitokea msipoteane.