Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wilaya ya Ngara mkoani Kagera na viunga vyake hakika umeme umekuwa ni bidhaa ya anasa na aghari mno kuipata!
Kuanzia Benaco, Ngara yenyewe hadi Rusumo umeme umekuwa ukiwaka kwa masaa yasiyozidi manne tena usiku tu na kosa kuche wenye umeme wao huuchukua.
Mfano muda huu Benaco na Ngara yote hakuna umeme.