Hapana chezea mwanamke

Jeshi linaloweza kutumika vema au vibaya. Wanawake tushikamane hawa wanaume wasitusumbue na kututawala. Bado wamama wengi wananyanyaswa na wanaume... hii sio sawa

Kutawaliwa hutaweza kupinga hiyo ni amri ya Mungu lazima tuwatawale sema cha muhimu hapo tusiwanyanyase.
 
ukitaka kujua nguvu za mwanamke kamuulize samson kwa delila, adam kwa eva na angalia ester alivyolikomboa taifa lake
 
Tuna nguvu sana ila tuna huruma sana pia, la sivyo......
 
Khaa!! Mbona tunaambiwa kati ya siku 3 - 5 kwa mwezi huwa nusu vichaa kwasababu za kibiologia? Mbona tunaambiwa tuishi nao kwa akili? Mbona tunaambiwa mwalimu wao ni kipofu? Nauliza tu..
Note: Nina bibi, mama, shangazi, dada na shemeji..


Ndio hapo tuchambue na kutafuta kwa pamoja kwa nini mwanamke huyu huyu leo ni kichaa, kiesho ni shujaa, mara uishi nae kwa akili....... hapo ndio napatafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…