Hapana, Mpwayungu Village ni muongo sijapata kuona

Hapana, Mpwayungu Village ni muongo sijapata kuona

Huyu jamaa nahisi hana kazi kabisa anaishi kwao
[emoji2]
Halafu utakuta kajamaa kamenenepa kana kitambi hivi kafupi kanaishi kwa mamake kanashinda sebureni kwao kanafuatilia tamthilia na kuangalia katuni kwenye tv halafu jioni kanaenda kijiweni kwa shoe shine kanakaa kuwapiga fix hapo halafu kanajifanya kako kwenye system[emoji1787]
 
Halafu utakuta kajamaa kamenenepa kana kitambi hivi kafupi kanaishi kwa mamake kanashinda sebureni kwao kanafuatilia tamthilia na kuangalia katuni kwenye tv[emoji1787]
Hawezi kuwa mrefu, hizi nyuzi anazoweka anaonekana kabisa atakuwa wa kwanza kugombania urithi. .
 
Back
Top Bottom