Ezekiel nyalusi
Member
- Aug 24, 2016
- 13
- 20
hapa mtaani kwetu kuna grocery wanapiga sana kelele wakisha lewa nimepita nikaita kwa sauti Makondaaaaaaaaaa.. yaani hapa sahiv wengine tayar ni vilema
sipendagi ujinga wa kusikia matusi ya walevi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sipendagi ujinga wa kusikia matusi ya walevi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]