Ezekiel nyalusi
Member
- Aug 24, 2016
- 13
- 20
Hahahahaha,dah nimecheka balaaaahapa mtaani kwetu kuna grocery wanapiga sana kelele wakisha lewa nimepita nikaita kwa sauti Makondaaaaaaaaaa.. yaani hapa sahiv wengine tayar ni vilema
sipendagi ujinga wa kusikia matusi ya walevi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...si mtu wa sport sport wewehapa mtaani kwetu kuna grocery wanapiga sana kelele wakisha lewa nimepita nikaita kwa sauti Makondaaaaaaaaaa.. yaani hapa sahiv wengine tayar ni vilema
sipendagi ujinga wa kusikia matusi ya walevi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]