Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mkuu wa Mkoa kuhusika hujuma kwa Watani wetu ni kuonesha woga sana na kukosa Ilimu au Weledi. Huyu Mkuu wa Mkoa si ndo alikuwa na kashfa za kutaka funika kesi ya Ulawiti? Sasa anataka kutuharibia image yetu ya Yanga kuonekana tunahusika na figisu za kiduanzi ili mikia wapoteze points?
Huu ni upuuzi na wanayanga tusiingie kwenye mkenge kumshabikia au mtetea huyu kilaza. Hatujui siku nasi tukaenda mkoa ambao una. Mkuu wa Mkoa kilaza mwanasimba naye akashiriki kutuhujumu namna hii. Tutasema nini?
Huu ni upuuzi ukemewe tusirudi ile miaka yule zeru zeru alikuwa anatuchonganisha Simba na Yanga kwa faida yake. Sasa wanasimba na wanayanga hatuna tena uadui ni utani tu. Huyu mteule wa rahis analeta upuuzi na utoto kama huu. Si sawa.
Wapenzi wa mpira tuukatae. Ubaya unatabia ya kuzunguka kama dunia na jua. Leo kwa mwenzio usiku kwako mchana usimcheke. Kesho naye kwake kutakuwa mchana kwako usiku. Tusileee wapuuzi kama hawa.
Mpira uchezwe uwanjani fair and square. Hujuma hizi za kipuuzi hazitusaidii kukuza mpira zinatudumaza tu.