Yap mkuu inaweza kutokea hivyo kutokana na sababu mbali mbali,
1)Kazi zinasababisha mwanamke kukosa period kwa kipindi fulani inaweza kutokea hata mwezi mmoja
2)Kuna dawa wanawake huwa wanatumia ambazo wanaweka kwenye mikono yao inakuwa kama sindano hivi huwa ni ya kuzuia mimba kwa mda wa mwaka mmoja au 2 hiyo pia huwa inakata period anaweza asipate hata miezi 6 na kushuka chini.......
3)Dawa zozote ambazo zinazuia mimba huwa na zenyewe zikasababisha mwanamke kukosa mimba
4)Mwanamke kukosa period kwa wakati ambao anategemea huwa ni kawaida......
5)Zaidi kama hizo list nilizoweka hapo hana hata moja basi atakuwa ana mimba na mkamuone doctor mapema sana kabla haijawa kubwa zaidi,