...................... happy birthday to you x4 dear JF, happy birthday to you.
Invisible walau kungekuwa na kapati kakugonganisha Cheers, na wadau maana kwa kweli hii forum imefanya makubwa sana katika ujenzi wa nchi.
Forum hii pia inatumika kama mbadala wa ushauri kwa Mheshimiwa Mkuu wa Nchi, so happy b day again JF...CHEERS!