Hapiness magese aelezea yaliyomkuta hadi akaondolewa kizazi chake

Aisee pole sana happy...yote ni majaribu tumeumbiwa sisi binadamu
 
i love you hapiness

Mungu akusaidie sana
 
story ya kawaida tu hiyo usilalamike huna viatu wenzako hawana miguu unatakiwa ushukuru kwa yote kwa alie juu
 
If miracles do exist basi na yeye imwelekee
 

Nadhan alizikwa jana kwenye makabur ya kinondon

Mbona walisema wanamsafirisha kwenda kwao nchini Kenya,walikosa fungu?
 
Its painful to know that u cant have kids of ur own, wakat kila kitu kipo, ila asikate tamaa sana mungu yupo, akimuomba kwa kumaanisha kwa nguvu zake zote sidhan kama atashindwa
uko sahihi mimi kwangu kama mwanamke anaziona siku zake basi atazaa tu.

by the way most important pesa anayo na hajazuiwa kugegedwa she mis nothing.
 
Oh my this is soooo sad,na vile kafanikiwa jmn angekuwa na watoto,dahh...
Mi nnavowaza watoto sikuhizi hadi naona kama baba watoto wao nachelewa kumjua,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…