Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
dada yetu super model hapiness magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 carrant diamond with clearless clarity abayo imewekwa kwenye planinum ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa fisadi aitwaye gerald mgasha ambaye ni mbeba boxi canada, wadau hii imekaaje dola $76,000
dada huyo alivalishwa pete siku ya jumamosi 24/01/2010 pale bahari beach. Honera dada yetu
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Ilaumu serikali wewe sio mtu kabeba Box kapata mshiko wake then unampangia matumizi? Umaskini wetu unaletwa na sera mbovu na zisizo tekelezeka....!!Wakati Wa-Tanzania asilimia 90 ni maskini wa kutupa mswahili mmoja anavaa pete ya USD 76,000, ili iweje? unajua kuna kutenda DHAMBI na pia kuna KUKUFURU! hii basi ndo KUFURU yenyewe!!
Tukumbuke tulikotoka, elimu vijijini duni, kina mama wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma wakati wa kujifungua, miundombinu yetu ndo hiyo................... nadhani hata ndugu zake Happiness ni CHOKA MBAYA ............... "ukifa utapelekwa kijijini na huko utazikwa na watu maskini saaana wenye nguo zilizojaa viraka viraka"
Mi simo
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
haya hiyo katika rangi nyekundu mmmmhDada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
tusipende kunyoosheana vidole jamani, kila mtu ana uhuru wa kutumia pesa yake kwa mujibu wa mahitaji yake hata kama pesa hiyo hakuipata kihalali. Mbona kuna mengi tu tunayafanya kila siku ila hatujiulizi ni kwa kiasi gani haya tunayofanya yanaweza kuwasaidia maskini au hata kuinua maendeleo ktk jamii zetu, tunafanya sherehe za harusi za gharama kubwa sana na wengi wetu humu ni wachangiaji wa michango hiyo isiyo hata ya lazima, kwa nini hizo sherehe na hiyo michango tusipeleke kwa maskini au tuchange ili kuinua kiwango cha elimu na huduma ya afya, wengi wanaona hao wahusika kama vile wamefanya kufuru ila wanashindwa kujiiuliza na wao huwa wanafanya nini japo kidogkidogo kwa muda mrefu.Wakati Wa-Tanzania asilimia 90 ni maskini wa kutupa mswahili mmoja anavaa pete ya USD 76,000, ili iweje? unajua kuna kutenda DHAMBI na pia kuna KUKUFURU! hii basi ndo KUFURU yenyewe!!
Tukumbuke tulikotoka, elimu vijijini duni, kina mama wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma wakati wa kujifungua, miundombinu yetu ndo hiyo................... nadhani hata ndugu zake Happiness ni CHOKA MBAYA ............... "ukifa utapelekwa kijijini na huko utazikwa na watu maskini saaana wenye nguo zilizojaa viraka viraka"
Mi simo
Inawezeka ni $76000 or $7600 or $760 maana wabongo wanamatatizo na kuquote figures sana! Lakini sina hofu na mtoa mada.Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.