Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Inawezeka ni $76000 or $7600 or $760 maana wabongo wanamatatizo na kuquote figures sana! Lakini sina hofu na mtoa mada.
Yawezekana pia pete yenyewe imeibiwa huko huko Canada ikaletwa hivyo hivyo na kuja kijisifu nayo, inabidi Happiness akisafiri awe makini .....
Hongera kw kupata mshikaji, lakini ndugu zako kule kijijini wanakufa kwa njaa,wanalima kwa jembe la mkono.
Inawezeka ni $76000 or $7600 or $760 maana wabongo wanamatatizo na kuquote figures sana! Lakini sina hofu na mtoa mada.
Yawezekana pia pete yenyewe imeibiwa huko huko Canada ikaletwa hivyo hivyo na kuja kijisifu nayo, inabidi Happiness akisafiri awe makini .....QUOTE]
na inawezekana ikawa fake diamond!!!!!!
Ama kweli umasikini ni laana! Kwa nini roho inawauma???
Ilaumu serikali wewe sio mtu kabeba Box kapata mshiko wake then unampangia matumizi? Umaskini wetu unaletwa na sera mbovu na zisizo tekelezeka....!!
Wakati Wa-Tanzania asilimia 90 ni maskini wa kutupa mswahili mmoja anavaa pete ya USD 76,000, ili iweje? unajua kuna kutenda DHAMBI na pia kuna KUKUFURU! hii basi ndo KUFURU yenyewe!!
Tukumbuke tulikotoka, elimu vijijini duni, kina mama wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma wakati wa kujifungua, miundombinu yetu ndo hiyo................... nadhani hata ndugu zake Happiness ni CHOKA MBAYA ............... "ukifa utapelekwa kijijini na huko utazikwa na watu maskini saaana wenye nguo zilizojaa viraka viraka"
Mi simo
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
Yes you said it rightly. Mfalme Suleman alishayaona haya siku nyingi!! Ndoa za namna hii kwa kawaida zina tabia ya kutodumu muda mrefu. Wanatakiwa kuwa waangalifu sana.ubatili mtupu, na kujilisha upepo
ubatili mtupu, na kujilisha upepo
Samahani wadau, inawezekana mimi sielewi madini ya diamond gharama zake! hiv kumbe mtu anaweza kuvaa kiasi kikubwa namna hiyo cha pesa kwenye kidole tu? maana kwa makadirio ya haraka ni sawa na Tshs 99,000,000!
Duuh!
Kwani akivishwa expensive pete ndo mapenzi yatakuwa ya milele?takwimu zinaonesha kuwa ndoa nyingi za gharama kubwa huvunjka mapema sana...