Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu dar kwanzaNauliza tu.
Je, bei gani kunyoa style ya kawaida tu.
Na..
Naona mtandaoni wanatupia picha za warembo wamenyolewa je wananyoa na wanaume au?
Nakuja Dar karibuni, sehemu nilizopanga kutembelea moja wapo hapo.
Haaha na ukizubaa unaweza kubali kufanyiwa kila kitu,hasa sisi mwanaume unapagawa na sauti laini ya wadada wanaofanya vikolombwezoNiliendaga kunyoa sikua najua bei bana. Nikachagua style nikanyolewa plus vikorombwezo kama wave nini mwisho wakaniambia nifanye na scrub.
Hapo ndo akili ikanijia nikawauliza sh ngap scrub nikaambiwa 7000 basi nikasema sihitaji hio.
Naenda kupewa bill elfu kumi na sita (16000/=) hee nikawaza ningefanya na scrub hapa ingekua elfu ishirini na tatu (23000/=)
Sijarudi tena mpaka leo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haaha na ukizubaa unaweza kubali kufanyiwa kila kitu,hasa sisi mwanaume unapagawa na sauti laini ya wadada wanaofanya vikolombwezo
Utaskia "kaka tukufanyie na scrub?" Apo unajikuta unaitikia tu,bili ikija ndo akili inarudi.
Hahah ndio. Na pale wameweka wadada wakali wana shape hao makusudi.Haaha na ukizubaa unaweza kubali kufanyiwa kila kitu,hasa sisi mwanaume unapagawa na sauti laini ya wadada wanaofanya vikolombwezo
Utaskia "kaka tukufanyie na scrub?" Apo unajikuta unaitikia tu,bili ikija ndo akili inarudi.