[emoji23][emoji23]Kinyonge sana. Wamemsema huko balaa.
Na leo alivyonyimwa uhamasishaji kaaga mapema sana huko insta
Sure.Ila huyu jamaa Ana maisha magumu Sana huu msimu, yaani furaha yake ni ya kuunga unga Sana
Wanakazi ngumu sana ya kufuatilia maisha ya watu wakati wao wenyewe wanapumulia mashineWamefanyeje
We ndiye mshamba mwenzio anapiga pesa we kutwa kuhara jf pumbavuKatangaza kinyonge sana. Na bado kwenye group stage.
View attachment 1982402
Huu ni mpira, ni ushabiki, ni utani wa jadi.We n
We ndiye mshamba mwenzio anapiga pesa we kutwa kuhara jf pumbavu
Money maker Manara [emoji772][emoji772][emoji772]Katangaza kinyonge sana. Na bado kwenye group stage.
View attachment 1982402