Hapo hamjapewa nchi je mkipewa nchi itakuwaje CHADEMA

Hapo hamjapewa nchi je mkipewa nchi itakuwaje CHADEMA

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Uongozi wa chama hiki ambacho wengi wanadai wanakiamini kila mtu mbabe, hapo ndio watanzania wajue aina ya watu wanaotaka kupewa uongozi wa nchi, Tundu Lissu ni makamu wa mwenyekiti chadema, ukisema hakukuwa na makubaliano ya nusu mkate wakati Lissu kiuongozi anafuata baada ya Mbowe utakuwa ni utoto.

Nliwahi kuwaaambia chama chenu hakijafikia hata robo ya weledi ya ile NCCR Mageuzi ya wakati ule.

Subirini Lissu aje na majibu tena

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mpasuko wa CHADEMA tatizo ni Asali, Ukabila na Uenyekiti Taifa
 
..Katiba ndio mlinzi wa nchi na wananchi.

..sisi tunataka KATIBA MPYA halafu ndio tuanze kufikiria nani wa kumpa uongozi.
 
Uongozi wa chama hiki ambacho wengi wanadai wanakiamini kila mtu mbabe, hapo ndio watanzania wajue aina ya watu wanaotaka kupewa uongozi wa nchi, Tundu Lissu ni makamu wa mwenyekiti chadema, ukisema hakukuwa na makubaliano ya nusu mkate wakati Lissu kiuongozi anafuata baada ya Mbowe utakuwa ni utoto.

Nliwahi kuwaaambia chama chenu hakijafikia hata robo ya weledi ya ile NCCR Mageuzi ya wakati ule.

Subirini Lissu aje na majibu tena
We acha tu! CHADEMA kuna mambo. Nchi hatuwapi ng´o. wasahau.
 
Kuna taasisi duniani ambayo wahusika wake hawatofautiani mawazo?.Hizo hoja mnazozishupalia ni hoja ndogo sana ila wafuasi wa chama chakavu mnazishupalia mkifikiri mnaivuruga chadema kumbe ndo mnaikomaza.Wakati ni ukuta siku ambayo Cdm itaingia madarakani wakuamua hutakua wewe bali muda nasio lazima hawa viongozi wasasa wachadema wahusike.Hivi nivipindi vyampito na nilazima mambo kama hayo yawepo kwasababu kuna ushindani.
 
Back
Top Bottom